"Aaaaaaaaah! Babu... Kikombe umepiga lakini au upo fiti?" Nikama Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, anamwambia Kikongwe Sungura Andrea (103) mkazi wa Kijiji cha Mlanganini Wilayani Meru Mkoani Arusha alipokuwa akisalimiana nae wakati alipowasili katika uwanja wa Shule ya Sekondari Mlanganini kwa ajili ya kuhutubia Wananchi mkutano wa Hadhara leo, Makamu wa Rais yupo Mkoani Arusha kwa ajili ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo.
March 28, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment