Ally Choki (wa pili kushoto mbele) akiwa na wanamuziki wake wapya leo baada ya kuwatambulisha mbele ya waandishi wa habari. Mbele kulia; ni God Kanuti, Super Nyamwela, Super Danger, Rogert Hegga, Saulo John 'Ferguson' na Hoseah Mgohachi.
Super Nyamwela aliyeihama Twanga Pepeta akizungumza kwenye utambulisho wa wanamuziki wapya wa bendi ya Extra Bongo. Jumla ya wanamuziki saba wameihama Twanga Pepeta akiwemo Nyamwela.
Mmoja wa wanamuziki wapya wa bendi ya Extra Bongo waliotoka Twanga Pepeta, Saulo John Ferguson akizungumza kwenye utambulisho wa wanamuziki hao saba. Kulia ni Ally Choki ambaye ni Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo.
0 comments:
Post a Comment