Nafasi Ya Matangazo

February 04, 2011

 Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu akisoma maandishi kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la msingi la Karakana ya matengenezo ya ndege la Shirika la Ndege la Precision lililopo uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam Februari 4,2011. Kushoto ni CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko.
 Waziri Nundu akitembezwa katika banda hilo...
 Mafundi wakiendelea na ujenzi wa banda hilo litakalo kuwa la kisasa uwanjani hapo.
 CEO Kioko akiendelea kumtembeza mgeni rasmi...
 Wadau kama hawa nao walikuwepo...
 Waziri Nundu akimalizia ziara hiyo ya banda la karakana litakalo gharimu dola milioni 5.4 pindi litakapo kamilika Mwezi Machi 2011.
 Mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu (kulia) akiwa na Mwenyeji wake CEO wa Precision Alfonse Kioko katika sherehe hizo za uwekaji jiwe la msingi.
 Baadhi ya waalikwa wakiwa katika tafrija hiyo....
 CEO akisoma hotuba yake....
 Burudani ilikuwa ni ya aina yake kutoka kundi la Splendid kutoka Ilala Bungoni.
Waliburudisha vya kutosha...
Posted by MROKI On Friday, February 04, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo