Nafasi Ya Matangazo

January 21, 2011

 Watendaji- Baadhi ya watendaji wakuu wa wakala wa Serikali wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi kwenye mkutano maalum wa Umoja wa Watendaji Wakuu wa Wakala  za Serikali ulifanyika jana(21.1.2011) jijini Dar es salaam.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi akifungua mkutano maalum wa Umoja wa Watendaji Wakuu wa Wakala  za Serikali jana(21.1.2011) jijini Dar es salaam.
Posted by MROKI On Friday, January 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo