Nafasi Ya Matangazo

January 16, 2011

Mshambuliaji wa timu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki,  Joseph Mtombabali (kushoto) akimtoka mchezaji wa Chuo Kikuu cha IMTU, Edwin Alphage wakati wa mchezo wa bonanza lililofanyika katika shule ya Msingi, Mikocheni Dar es Salaam jana. Bonanza hilo liliandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania.
Mchezaji wa timu ya  mpira wa kikapu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki, Benny kafumu akiwania mpira na mchezaji wa Chuo cha Tiba cha Muhimbili, Andrew Elius wakati bonanza michezo lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom na kufanyika jijini Dar es Salaam jana.
 Mchezaji wa  timu ya mpira wa kikapu ya Chuo cha Tiba cha Muhimbili, Simiyu Ibrahim akimiliki mpira huku akizongwa na mchezajji wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Kumbukumbu ya Hurbert Kairuki, Fidelis Dominic.
 Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki, Fidelis Dominic a akiambaa na mpira huku akizongwa na mchezaji wa Chuo cha Tiba cha Muhimbili, Said Rashid.

 Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha muhimbili, Andrew Elius akiruka juu huku akizongwa na wachezaji wa timu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki.
 Kikosi Chuo Kikuu Kshiriki cha Sayansi ya Afya na Tiba Muhimbili
Kikosi cha Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki.
Posted by MROKI On Sunday, January 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo