Nafasi Ya Matangazo

January 25, 2011

Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi (Mb) (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka  nchini Korea walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Januari 25, 2011. (wa tatu kushoto) ni Mhe. Cho Yoon, (Mb) wa Korea na pia ni Balozi wa KOICA Duniani. (Kulia) ni Bw. Park, Yong-seok, Rais wa Taasisi ya Utafiti wa Sheria na Mafunzo Korea, ujumbe huo uliambatana na Balozi wa Korea nchini Tanzania Kim, Young-hoon na Mwakailishi wa KOICA Tanzania Bw. Holywater Oh. Waziri alishukuru Korea kwa misaada ya kujenga Vituo vya Afya na gari la wagonjwa iliyoboresha sekta ya Afya nchini.
Posted by MROKI On Tuesday, January 25, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo