Nafasi Ya Matangazo

January 24, 2011

 Shule mpya ya awali na Msingi ya Ellem ipo Mji Mwema karibu kabisa na Shule ya Msingi Mji Mwema. Shule ni ya Kisasa na ina walimu wakutosha kukidhi mahitaji ya elimu ya mtoto wako. Shule ina madarasa mazuri yaliyopo katika jengo zuri na la kisasa. Uwanja mkubwa wa kuchezea watoto upo mbele ya shule hiyo.
 Watoto wawapo ndani madarasani wanakuwa salama kutokana na uzio mkubwa na wakissasa ulioizunguka shule hiyo.
 Jengo lake ndo kama hili....
 Hili ni moja ya darasa la Shule ya Msingi lililopo Ellem, ambalo ni safi na lakuvutia kumfanya mtoto asome bila bugudha.
 Watoto wa awali nao wana viti na meza zao za kila rangi na mikao tofauti.....
 Wapo wanao kaa kwa staili hii....
 TV kwaajili ya kufundishia pia ipo na kupata taarifa mbalimbali.
 Watoto wadogo kabisa wa awali wana nyenzo nyingi za kujifunzi kusoma...
Na hili ni darasa jingine ambalo lina viti na meza za kuvutia na siszo chosha kwa watoto kukaa.  
Mnakaribishwa sana ELLEM PREE & PRIMARY SCHOOL Kigamboni Dar es Salaam.


Shule inapokea wanafunzi wa Shule ya awali na darasa la kwanza pekee kwa sasa. Umri ni kuanzia mika 3-6.
KARIBUNI
Maulizo juu ya nafasi piga simu:-
+255 (0)714 754095 
+255 (0) 719 255099
+255 (0) 784 440485
Posted by MROKI On Monday, January 24, 2011 2 comments

2 comments:

  1. Kwa kweli ni nzuri tunampongeza mwanzilishi wa shule hiyo kwani elimu ndio ufunguo.
    Je imeshasajiliwa? tupe namba ya usajili.

    ReplyDelete
  2. Shule nzuri hongera, ila hizo nyaya za tv sio salama kwani watoto ni watundu. Kama inawezekana zichimbiwe ukutani au ziwekewe holder za kuzibana ukutani kuliko kuzagaa sakafuni.

    Mdau wa elimu

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo