Nafasi Ya Matangazo

January 25, 2011

 Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara, Waziri Ally (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuusu tamashi hilo litakaloanza mwanzoni mwa mwezi ujao kushoto Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha hilo,Brayan Karokola na Mkurugenzi wa Tamasha hilo, Ayoub Mahmoud.
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kimpya, Juma Kasimu 'Juma Nature' (kulia) akipeana mkono na Meneja Mkuu wa Zantel Zanzibar ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha hilo, Nahaat Mahfoudh wakati wa mkutano wa kutangaza Tamasha hilo, Dar es salaam jana katikati ni Makamu mwenyekiti wa Tamasha hilo, Simai Said.
Posted by MROKI On Tuesday, January 25, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo