Nafasi Ya Matangazo

January 25, 2011

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda nje ya Ukumbi wa mikutano Ubungo Plaza baada ya kufunguwa Semina Elekezi ya siku 10 kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifunguwa Semina Elekezi ya siku 10 kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoanza leo katika ukumbi wa Hoteli ya Ubungo Plaza Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, January 25, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo