Nafasi Ya Matangazo

January 20, 2011

Mwandishi Mkongwe wa kampuni ya the Guardian, Tryphone Blassius Mweji (katikati) akitunukiwa tuzo ya kuwa Mwanachama wa Heshima ya Kutukuka wa Klabu za Lions ( Lions club International honorary member) kutoka kwa Gavana Wilson Tumwine wa Uganda, kwenye hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Anayekabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya Gavana ni Mwwenyekiti wa Baraza la klabu za Lions za Uganda na Tanzania, Safdar Jaffer
Posted by MROKI On Thursday, January 20, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo