Nafasi Ya Matangazo

January 28, 2011

Mwanamziki wa bendi ya Msondo Ngoma Music ,Hamisi Maliki 'Super Maliki' amefaliki Dunia leo jijini Dar es Salaam.

Taarifa ya Msondo iliyotolewa na Msemaji wao Rajab Mhamila inasema Maliki  aliyekuwa akiimba sauti ya kwanza amefaliki katika Hospital ya Agrikan iliyopo Buguruni Malapa Dar es Salaa alfajiri ya kuamkia leo akisumbuliwa na limonia.

Mazishi yatafanyika kesho jijini Dar es Salaam. Maliki  aliyejiunga na kundi hilo mwanzoni mwa mwaka 2010 alikuwa akiimba sauti ya kwanza.
Mwanamziki Hamisi Maliki "Super Maliki"  katikati  waliokuwa mstari wa mbeli akiwa na wanamuziki wenzake wa Msondo Ngoma Band. Hii nipicha ya kava ya albamu ya Labana baada ya kutengenezwa upya kwa nyimbo zilizopo katika albamu hiyo.
Posted by MROKI On Friday, January 28, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo