Nafasi Ya Matangazo

January 24, 2011


 Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami ( Kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Waziri wa Viwanda na Biashara wa Mauritius Showkatally Soodhun ( Kushoto) mara baada ya mazungumzo mafupi ofisi kwake Jijini Dar Es salaam.
 Waziri wa viwanda na Biashara wa Tanzania Dkt Cyril Chami(Kushoto), mgeni wake Waziri wa Viwanda na Biashara wa Mauritius Showkally  Soodhun(Katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara wa Tanzania  Dkt Shaaban Mwinjaka (Kulia) wakiwa katika kongamano la Wauzaji na Wanunuzi baina ya nchi hizi mbili lililofanyika Jijini Dar es salaam
 Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami na wageni wake wakikagua moja kati ya banda katika kongamano la wauzaji na wanunuzi lililofanyika Jijini leo

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko wa Tanzania Dkt Cyril Chami (Kulia mwenye shati la kijani) mara baada ya kumpokea mgeni wake Waziri wa Viwanda na Biashara wa Mauritius  Bw Showkatally  Soodhun(Katikati) katika Uwanja wa Ndege wa Mwl Jk Nyerere Jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe anaewakilisha Tanzania nchini Mauritius  Bw Adadi Rajabu
Posted by MROKI On Monday, January 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo