Nafasi Ya Matangazo

January 24, 2011

 Bwana harusi Charles Kasanzu akivisha pete ya ndoa Bi Esther Mwenda katika Kanisa Katoliki Parokia ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam January 22, 2011 na baadae katika tafrija maalum iliyofanyika katika Hotel ya Beachcomber Dar es Salaam.
Bi harusi akitambulisha ndugu jamaa na marafiki. 
 dada wa bi harusi Janeth Sostenes Mwenda akisalimia wageni waalikwa. Aliyebebwa ni mtoto wa maharusi.
 Mc wa shughuli hiyo Joseph Namalya akijadili jambo na maharusi.
 Maharusi wakitakiana heri na wasimamizi wao Honorath Njau na mkewe Finias Kamanga
 Wadau wa blogu hii na wanakamati waliofanikisha shughuli hiyo.
 Maharusi wakiwa katika nyuso za furaha na matumaini ya kuishi kwa furaha na amani katika umoja wao huo mpya.
 Ulikuwa ni wakati wa mpango mzima wa sherehe...msosi.
 Wazee walifanyiwa mambo na wenza wao....
 Familia bora...
 Picha ya pamoja kati ya kamati na maharusi.
 Huyu alitambulishwa kama mtu muhimu sana... kwa Charles. Ni George John an my wife wake. nao walifunga ndoa yao mwezi mmoja uliopita.
Hapa waliamua kulamba moja ya kumbukumbu maana ndoa zao zimepishana miezi tu.
Picha na MD Diguital Company
Posted by MROKI On Monday, January 24, 2011 1 comment

1 comment:

  1. Kweli wameremeta bro & my-wifi.
    Mlipendeza sana na Mungu awabariki.
    with love c.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo