Nafasi Ya Matangazo

November 22, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kikabidhiwa na Mauwa na Mkurugenzi wa Utawala  katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Immaculata Ngwale baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu na kupokelewa na wafanyakazi wa Ofisi hiyo, Novemba 22, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa baada ya kuwasili kwenye  viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es saalaam Novemba 22, 2010 kuanza kazi.   Wapili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa TACADS, Dk. Fatma  Mrisho.
Posted by MROKI On Monday, November 22, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo