Nafasi Ya Matangazo

November 22, 2010

 Mtangazaji wa kipindi cha mitikisiko ya pwani Khadija Shaibu maarufu kwa jina la Dida (wa pili kushoto) akiwa na wanenguaji wa Boziana Faila Boendi (kushoto) na Blausesse Ayembe (wa pili kulia) pamoja na mtangazaji wa kituo hicho Amina Singo
 Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana akiwa na watangazaji wa Kituo cha Times Radio FM 100.5 Scholastica Mazula (kulia) na Amina Singo alipotembelea kituo hicho kilichopo Kawe Beach, Dar es Salaam leo. Boziana yupo nchini kwa  mwaliko wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’
 Bozi Boziana akiwa ndani ya studio ya Times Fm pamoja na watangazaji wa kipindi cha Afro Vibes muda mfupi kabla ya kuanza mahojiano
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana akijiandaa kwa mahojiano katika  Kituo cha Times Radio F m 100.5 alipotembelea leo. Kutoka kulia ni  Scholastica Mazula  na Amina Singo watangazaji wa kituo hicho.
Posted by MROKI On Monday, November 22, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo