Nafasi Ya Matangazo

November 08, 2010

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Yombo Dovya, iliyopo katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka Farida Mohammed, Afisa wa Zain, juu ya huduma mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo ya simu wakati wa ziara yao ya mafunzo hapo jana. Ziara za mafuzo kwa kutembelea kampuni mbali mbali huwasaidia wanafunzi kupanua elewa wao wa shughuli zinazofanywa na makampuni mbalimbali.
Posted by MROKI On Monday, November 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo