Nafasi Ya Matangazo

November 08, 2010


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Jaji Omar Othman Makungu,Ikulu Mjini Zanzibar jana.Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Abdulhamid Yahya Mzee.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimkabidhi hati ya kiapo Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Jaji Omar Othman Makungu,mara baada ya kumuapisha,katika hafla iliyofanyika jana,Ikulu Mjini Zanzibar.
Posted by MROKI On Monday, November 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo