Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2010

 Miss tanzania 2010 Genevieve Emmanuel akipokelewa na mdogo wake leo baada ya kurejea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo akitokea Sanya China alipokuwa akishiriki shindano la Miss Woerd. Hata hivyo mrembo huyo wa Tanzania hakubahatika kufanya vyema katika mashindano hayo.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga (kushoto) , baba wa Miss Tanzania 2010 Emmanuel Mpangala wakimpokea Miss Tanzania uwanja wa Ndege leo.
Posted by MROKI On Wednesday, November 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo