Nafasi Ya Matangazo

November 19, 2010

 Mkuu wa Kiwanda cha Nondo cha Altaf Zulfiqar Bw. Zulfiqar Ali (kushoto) akipongezwa na wafanyakazi wake baada ya kumalizika kwa hotuba ya rais Jakaya Kikwete kwa mara ya kwanza Bungeni na kuipongeza wafanyakazi hawo walikuwa wanaangalia kupitia luninga wakati wa kazi Dar es salaam juzi

Mkuu wa Kiwanda cha Nondo cha Altaf Zulfiqar Bw. Zulfiqar Ali akiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Dar es salaam juzi wafanyakazi hawo liliruhusiwa kuacha uzalishaji na kusikiliza hotuba kupitia luninga
Posted by MROKI On Friday, November 19, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Mbona hawana mavazi ya kazi,waliovaa gloves ni wachache, overall hawana. Mmmh wala sioni wanachofurahia, akiumia mtu hapo nafikiri inakuaga kimbembe.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo