Nafasi Ya Matangazo

November 19, 2010

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo, alipokuwa akielekea Nchini Botswana kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Viongozi wa Nchi Jumuiya Wanachama wa SADC pamoja na ufunguzi wa Ofisi ya Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika kesho Nchini humo.
Posted by MROKI On Friday, November 19, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Hili jambo la kurundikana viongozi kumpokea au kumuaga kiongozi mi silielewi kabisa.hivi tuna muda kweli wa kupoteza kiasi hiki?hatuna kazi nyingine za kufanya?halafu tunalalamikia matumizi makubwa ya serikali,vitu vidogo vidogo kama hivi vinaweza kupunguza matumizi haya.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo