Nafasi Ya Matangazo

November 27, 2010

 Waziri wa TAMISEMI, george Huruma Mkuchika akila kiapo chake mbele ya rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es Salaam leo.
 waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo Immanuel Nchimbi akiapa mbele ya Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es Salaam.
 Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Lululu akiapa Ikulu Dar es Salaam mbele ya Rais Jakaya Kikwete.
 Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dr. Terezya Luoga Hovisa
 Wanahabari hasa wapigapicha wakiwahi kupiga picha za makundi.
 Rais na baraza jipya la Mawaziri
 Rais na Manaibu Waziri pamoja na Makamu wa Rais.
 Naibu Waziri wa Ardh, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Madeye (kulia) akizungumza jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akimsikiliza Naibu wake Goodluck Ole Madeye akimueleza jambo baada ya kuapa Ikului leo. Katikati ni waziri wa zamani wa wizara hiyo Capt. John Chiligati.
 Waziri Katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu (kulia) akipongezwa na wanafamilia yake.
 Waziri wa TAMISEMI George Mkuchika akipongezwa na mkewe baada ya kula kiapo Ikulu Leo.
 Waziri Mkuchika akipongezwa na watoto wake.
 Picha ya pamoja ya waziri Mkuchika na familia yake.
 Hapa Maulid Kitenge nae alikuwa anachombeza lake walau akumbukwe hata katika nafasi zile 7, hahahaha lakini alikuwa anampongeza tu Mheshimiwa rais kwa Uteuzi wa baraza la mawaziri.
Martha Mlata nae hakucheza mbali na hapa alitaka kumbukumbu na Mzee wa barabara, Dk. John Pombe Magufuli.
Posted by MROKI On Saturday, November 27, 2010 2 comments

2 comments:

  1. Mulid Kitenge si mbunge kwani apewe mara ngapi?

    ReplyDelete
  2. Mr Zero Kitenge naye anampa ushauri gani hapo Rais yaani mpaka Rais anamcheka !

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo