Watu wenye uemavu wa ngozi wakiimba katika chakula cha jioni cha kuhamasisha ukomeshaji wa mauaji ya watu wenye ulemavu wa nvgozi-Albino kilichoandaliwa Taasisi ya Under The Same Sun kwenye Hoteli ya Movenpick Royal Oalm jijini Dar es salaam Novemba 22, 2010
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea DVD ya Senema inyoonyesha mauaji ya Albino nchini katika Chakula cha jioni cha kuhamasisha ukomeshaji wa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi-Albino kilichoandaliwa na Taasisi ya Under The Same Sun kwenye hoteli ya Movenpick - Royal Palm jijini Dar es salaam Novemba 22, 2010




0 comments:
Post a Comment