Nafasi Ya Matangazo

November 26, 2010

 Waziri MkuuMizengo Pinda kiongozwa Mkuuwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Fulgence Kazaura (kushoto), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Jaji Joseph Sinde Warioba na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Rwekaza Mukandala kuelekea kwenye ukumbi wa Nkurumah Novemba 26, 2010 ambapo alikuw mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya CHuo Kikuu cha Dar es salaam
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Makamu Mkuu wa Cho Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala katika hafla ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya Cho hicho Novemba 26, 2010.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Salome Maro ambaye ni Mwanachuo aliyefanya vizuri na kupata daraja la kwanza akiwa na GPS 4.5 katika kozi ya Computer Science kwenye Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Alikuwa Mgeni Rasmi katika Hafla ya Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam iliyofanyika katika ukumbi wa Nkrumah Novemba 26, 2010.
Posted by MROKI On Friday, November 26, 2010 2 comments

2 comments:

  1. nataka kutuma posa, na uhakika hata watoto watakuwa genius, atakae owa huyu msichana atakuwa the luckiest in TZ ningependa kuweka kura yangu hapa!!!! msomali wa dom

    ReplyDelete
  2. Kaka Mroki inaitwa GPA na sio GPS!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo