Nafasi Ya Matangazo

October 30, 2010

 Kocha Msaidizi wa Klabu Mabingwa wa Tanzania "Wekundu waMsimbazi" Simba Syller Said Mziray (wapili kushoto) amefariki dunia leo baada ya kuugua na kufanyiwa upasuaji wa Koo jijini Dar es Salaam.  Pichani Mziray alipokuwa na Benchi la Ufundi la Simba katika mchezo wa kuwania ngao ya hisani baina ya Simba na Yanga.
 Syller Said Mziray enzi za uhai wake.
 Syller Said Mziray akitoa mada katika moja ya semina za soka.
Syller Said Mziray (mbele) akisimamia mazoezi ya viungo ya wachezaji wa Simba, timu ambayo alikuwa akiinoa kama kocha Msaidizi wa Simba.

Blogu hii inaungana na wanasimba, familia yake na watanzania wote kwa ujumla katika kikpindi hiki kigumu cha majonzi.
Posted by MROKI On Saturday, October 30, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Mziray alinifundisha "Sports Journalism" pale Mlimani. Mtu mzuri na msomi makini aliyetumia taaluma yake kwa faida ya wengi.

    Apumzike kwa amani!!!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo