Polisi wa kikosi maalum cha kutuliza ghasia FFU wakiwa katika moja ya mitaa ya mji wa Singida kuimarisha amani katika siku za mwisho za kampeni za siasa. Mgombea Ubunge wa Singida Mjini, Mohamed Gulam Dewji leo anafunga kapeni hizo katika uwanja wa Namfua mjini Singida.
0 comments:
Post a Comment