Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi
(UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete akihutubia katika mkutano wa kampeni za kupanga mikakati ya
ushindi kwa CCM, katika Kata ya Kitunda, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam
Vijana wa CCM, wakishangilia wakati wa mkutano wa ndani wa kampeni za kuwakumbusha vijana majukumu yao uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete katika Kata ya Kivule uliojumuisha kata zingine za Msongala, Kitunda, Ukonga, Kipawa na Pugu, Dar es Salaam jana.Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete (katikati),akionesha hati aliyokabidhiwa na UVCCM Wilaya ya Ilala, kumpongeza kwa kutambua mchango wake kwa CCM, wakati wa mkutano wa kampeni za kupanga mikakati ya ushindi kwa CCM, katika Kata ya Kitunda, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Omari Ng'wanang'walu na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilala, Alfred Tukiko.







Is it true that "KING'S DOG is DOG'S KING"?
ReplyDelete