Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini kupitia chama cha mapinduzi CCM, Lazaro Nyalandu,akisalimiana na wanafunzi wa kijiji cha minyaa,baada ya baada ya kuwasili kwaajili ya kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu
Lazaro Nyalandu,akisalimiana na wananchi wa kijiji cha minyaa,baada ya baada ya kuwasili kwaajili ya kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini kupitia chama cha mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu,akipokea kibuyu kutoka kwa wazee wa kijiji cha Kinyagini,baada ya kuwasili kwaajili ya kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini kupitia chama cha mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Minyaa,kwenye kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.








0 comments:
Post a Comment