Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiendesha trekta aina ya FARMTRUCK kutoka India wakati alipozindua Mradi wa Matrekta ya Kilimo Kwanza unaosimamiwa na SUMA JKT, kwenye eneo la Kambi ya Jeshi ya Lugaloz jijini Dar es salaam Oktoba 7, 2010. Kulia ni Balozi wa India nchini,V. Bhagirathi.
Posted by MROKI
On Friday, October 08, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment