Nafasi Ya Matangazo

October 13, 2010

Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, wakati alipowasili kwenye Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma leo Oktoba 13 2010 mchana kwa ajili ya kufanya mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili ya Kikundi cha Vijana cha Chomamoto, wakati alipowasili Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma leo Oktoba 13 2010 kufanya mkutano wa kampeni na kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo hilo la Bahi, Omar Baduwel.
 Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akivua kofia yake na kumvisha Kijana, James Charles, wakati akifurahia ngoma ya asili ya Kikundi cha Vijana cha Chomamoto, wakati alipowasili Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma leo na kufanya mkutano wa kampeni na kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo hilo la Bahi, Omar Baduwel.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Mkoa wa Dodoma leo .
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Bahi, Omar Baduwel, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma leo.
Posted by MROKI On Wednesday, October 13, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Jamani, hawa watoto siwanatakiwa wawe madarasani? Nini wanacho fanya kwenye campaign?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo