Nafasi Ya Matangazo

August 09, 2010

Baadhi ya maeneo watu si wengi sana kule Coco Beach ambapo wakazi wengi wa Dar es Salaam hupendelea kwenda kuogelea na kupunga upepo kila mwisho wa wiki. Sehemu nyingine ndo kama hivi watu kibao na michezo ya kila aina ipo hasa ile ya Kamari (korokoro) na vitu vya aina mbalimbali vya kula kula huuzwa.
Wanao ogelea pia wap[o na matairi kama haya hukodishwa hapo kwa usalama wako na raha zaidi ukiwa ndani ya maji baharini.
Posted by MROKI On Monday, August 09, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo