Nafasi Ya Matangazo

August 09, 2010

Wadau na wamiliki wa magari hasa mnao katiza njia ya Shekilango maeneo ya Sinza mtakuwa mmekiona kitu hiki kipya cha Kujazia mafuta ambacho Big Bon amekishusha na hakika naweza kusema kwa jiji la Dar es Salaam ndo cha kwanza kwa jinsi kilivyo jengwa hata Tanzania kinaweza kuwa. Mandhari pia ni ya kuvutia na eneo hilo limependeza sana.
Posted by MROKI On Monday, August 09, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo