Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Afya cha Wananchi wa kijiji cha Bumbwi Sudi kiliopo katika Wilaya ya Magharibi Unguja leo, jumla ya shilingi miloni 25.4 zinategemewa kutumika hadi kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bumbwi Sudi Wilaya ya Magharibi Unguja, mara Baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Kituo cha Afya cha wananchi wa kijiji hicho leo.
Posted by MROKI
On Saturday, August 07, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment