Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Rais wa mkutano wa 49 wa mwaka wa Umoja wa Mashauriano ya Kisheria baina ya Asia na Afrika (AALCO) Mathias Chikawe akiongea jana (Ijumaa, Agosti 6) usiku wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa Japan kwa wajumbe wa mkutano wa AALCO unaoendelea jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa Japan nchini Hiroshi Nakagawa na kulia ni kiongozi wa ujumbe wa Japan katika mkutano huo Yasuji Ishigaki. Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Rais wa mkutano wa 49 wa mwaka wa Umoja wa Mashauriano ya Kisheria baina ya Asia na Afrika (AALCO) Mathias Chikawe akigonganisha glasi na Balozi wa Japan nchini Hiroshi Nakagawa (katikati) na kiongozi wa ujumbe wa Japan katika mkutano wa AALCO Yasuji Ishigaki jana (Ijumaa, Agosti 6) usiku wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa Japan kwa wajumbe wa mkutano huo unaoendelea jijini Dar es Salaam. Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Rais wa mkutano wa 49 wa mwaka wa Umoja wa Mashauriano ya Kisheria baina ya Asia na Afrika (AALCO) Mathias Chikawe akiongea na Katibu Mkuu wa AALCO Prof. Rahmat Mohamad (kulia) na Kiongozi wa ujumbe wa Sri Lanka katika mkutano huo Priyasath Gerard (katikati) jana (Ijumaa, Agosti 6) usiku wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa Japan kwa wajumbe wa mkutano huo unaoendelea jijini Dar es Salaam. Mama Suad Mohamed Al-Lamki, Mshauri Mkuu wa Masula ya Sheria katika Wizara ya Sheria ya Oman ambaye aliwahi kufanyaka kazi Tanzania miaka ya 70 akiwa na wajumbe wenzake katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa Japan kwa wajumbe wa mkutano wa 49 wa mwaka wa Umoja wa Mashauriano ya Kisheria baina ya Asia na Afrika (AALCO) unaondelea jijini Dar es Salaam. Wengine ni sarah Hamad Al-Sharji (kushoto) na Saif Nasser Al-Humaidi (kulia) na Ahmed Khalifa Al-Hosni. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Oliver Mhaiki (katikati) na Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania Dkt. Gerald Ndika (kushoto) wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Rais wa mkutano wa 49 wa mwaka wa Umoja wa Mashauriano ya Kisheria baina ya Asia na Afrika (AALCO) Mathias Chikawe wakkati wa hafla ya chakula cha jioni jioni iliyoandaliwa na Ubalozi wa Japan kwa wajumbe wa mkutano wa AALCO unaoendelea jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment