Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel akipata Maelezo toka kwa Mjasiriamali wa Mtandao wa Mazingira Dodoma Wanaofadhiliwa na [NEMC} Bw Amandus Chitopela kuhusu ainaya Mvinyo utokanayo na Mauwa ya Choya wakati wa Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea Mkowani.
Ofisa Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Bw Faraja Ngerageza akitoa maelezo Kuhusu umuhimu wa Kuhifadhi Mazingira kwa Bi Helena Chumo na Bi Elizabeti Kaduma Katika Maadhimisho ya Nane Nane yanayoendelea Mkowani Dodoma.
Posted by MROKI
On Saturday, August 07, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment