Nafasi Ya Matangazo

July 03, 2010

Tumaini Urassa wa mail Sitta mjini Moshi akiwa katika picha ya pamoja na mpambe wake wakti wa tafrija aliyoandaliwa na familia yake kabla ya kufanga ndoa na Capt. Kyaze Nathan. Baadhi ya wake wenza wa Tumaini wakipiga nae picha ya pamoja kama ishara ya kumkaribisha nyumbani. toka kushoto ni Mama Timoth, Mama Kilave na Mama Shauri.
Familia ya Bwana harusi mtarajiwa katika picha ya pamoja na mwali wao.
Bwana Harusi Mtarajiwa Capt. Kyaze Nathan akiwa katika pozi na Bi Harusi mtarajiwa Bi Tumaini.
Tumaini akiwapa zawadi wakwe zake.
Mzee Halohalo, Loyd Atenaka akizungumza jambo kwa niaba ya familia ya Bwana Harusi.
Marafiki wa karibu wa Bi Harusi mtarajiwa wakiwa katika tafrija hiyo katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi.
Digital Photos
MD Digital Company
0755 373999
0717002303

Posted by MROKI On Saturday, July 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo