Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wanachuo kutoka Canada waliokuja nchini kufanya shughuli mbalimbali za kujitolea na kujifunza wakati alipotembelea Misheni ya Miyuji , Dodoma, inayoongozwa na Brother Anthony Julai 14, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo kutoka Canada waliokuja nchini kufanya shuguli mbali mbali za kujitolea na kujifunza wakati alipotembela misheni ya Miyuji Mjini Dodoma inayoongozwa na Brother Anthony, Julai 14, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Julai 14, 2010.
Posted by MROKI
On Wednesday, July 14, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment