Mbunifu wa Mitindo nchini Tanzania, Mustafa Hassanali (katikati) akizungumza katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Dar es Salaam leo juu ya Onesho la Mavazi la FASHION FOR HEALTH lililodhaminiwa na Vodacom Foundation litakalo fanyika Julai 30 2010 Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Vodacom Yessaya Mwakifulefule.
Mapato yatakayo patikana kutoka katika oneshohilo la Mavazi yatakwenda kuchangia mfuko wa Zanzibar Mental Hospital. Wabunifu wengine watakao ungana na Hassanali ni Farouque Abdela - MAGO East Africa.
0 comments:
Post a Comment