Nafasi Ya Matangazo

July 22, 2010

Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanasayansi Vijana Duniani tawi la Tanzania (YES) Andrew Medhod (kushoto T-Shirt )akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu maandalizi ya kufanyika kwa JUMUIKO hapo julai 23-24.2010 jijini Dar es salaam. Mwengine ni Mwanachama wa mtandao huo Mponda Malonzo.Kutoka kulia ni Linda Simon, Mponda Malonzo, Makamu Mwenyekiti Andrew Method, (Katibu ) Macdonald Mahiti , na mwisho mwanachama Irene Kibona. nyeusi ni Mjumbe Irene Kibona.


Mtandao wa Wanasayansi Vijana Duniani Tawi laTanzania (YES) (Young Earth Scientists Tanzania Chapter) leo jijini Dar es salaam wamekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia kuhusu jinsi ya maandalizi ya kufanyika Jumuiko la kwanza la kisayansi la wanasayansi Vijana nchini Tanzania la siku mbili kuanzai julai 23-24,2010 katika ukumbi wq NSSF Water Front. Mkutano huo utakuwa sambamba na uzunduaji rasmi wa mtandao, tovuti pamoja na jarida la mtandao.

Posted by MROKI On Thursday, July 22, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo