Ezekieli Maige ambaye anashikilia jimbo la Msalala aakirudisha fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Msalala kwa Katibu Chama cha Mapindzi Wilaya ya Kahama Sospeter Nyigoti . Maige amepita bila ya kupingwa baada ya mpinzani wake Eliakimu Machunda kujitoa.
0 comments:
Post a Comment