Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2010

Hii ajali ya Daladala kuacha njia na kuparamia kibanda cha Biashara imetokea leo asubihi katika barabara ya Momabsa Mazizini na hakuna mtu aliyejeruhiwa katika tukio hili. Mungu jalia ni kuwa katika eneo hilo hukaa kijana mchoma mahiondi lakini wakati ajali inatokea alikuwa hajafika na kama angekuwepo huenda angekuwa Marehemu maana mtu uliopo mbele yake uling'oka.
Posted by MROKI On Wednesday, July 14, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo