Nafasi Ya Matangazo

June 23, 2010

Mjumbe wa Kamati Maalum, Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
akikagua kadi ya Mwanachama wa CCM, Mzee Athuman Mohamed Dume kutoka tawi la CCM Fulwe, Mikese Wilayani Morogoro aliyejitokeza kumdhamini Mgombea CCM katika nafasi ya Urais wa Tanzania kwa miaka mitano , Rais Jakaya Kiwete ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho Taifa.
Posted by MROKI On Wednesday, June 23, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo