Herieth Kagemulo akimvisha pete George Muchunguzi katika Kanisa Katoliki Kawe jijini Dar es Salaam juzi. Bwaba harusi ni Msanifu Kurasa wa Magazeti ya Mwananchi.
Jamani hati zeti za kuishi pamoja bila buguza mmeziona...!!!
George na Herieth wakishika glasi zao za mvinyo kwaajili ya kupongezana na kutakiana heri.(Picha na MD Digital -0755373999 & 0717002303)
Jamani nimeipenda kweli hii harusi, wamependeza and they are both very natural!!
ReplyDelete