Nafasi Ya Matangazo

May 09, 2010


Usaili nao ulifanyika kwa uhuru na haki.
Mwenyekiti anaemaliza muda wake Hassan Dalali alikuwepo
wanahabari wakisubiri matokeo....
babu hapo jaza hivi....
Hapa ni kuwasiliana na wapiga kura tu...
Mgombea Ibrahim Masoud 'Maestro' nae alikuwa anasubiri hukumu yake.
Huyu alimua kuchapa usingizi...
wancahama wakisubiri kupiga kura upigaji kura ulifanyika bila matatizo
Ulinzi ulikuwa mkali kuzunguka eneo la mkutano.
Wanawake nao walikuwepo.

Posted by MROKI On Sunday, May 09, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo