Nafasi Ya Matangazo

May 03, 2010

Wachezaji wa timu ya Taifa Taifa Stars wakishangilia ushindi wao.
Mrithi wa Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Marcial Maximo anataraji kutoka katika moja ya nchi 5 za bara la Ulaya na si kwingineko.


Kwamuji wa taarifa ya TFF leo hii zinasema tayari mchujo umefanyika na sasa inasubiri makocha watano kutoka nchio za Bulgaria, Poland, Serbia, Ureno na Denmark kwaajilu ya kuwafanyia usaili mapema mwezi huu.

Mchakato wa kumtafuta kocha wa Tifa wa mpira wa Miguu ulianza tangu mwishoni mwa Machi, ambapo zaidi ya makocha 50 walijitokeza kuomba nafasi hiyo wakiwepo makoxcha wazawa.
Posted by MROKI On Monday, May 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo