Nafasi Ya Matangazo

May 10, 2010

Baalozi wa Marekani Nchini Tanzania , Alfonso E. Lenhardt kushoto akipata maelezo ya kipeperushi kinachoonyesha jinsi miundombinu ya Barabara ilivyoharibiwa vibaya na mvua zitokanazo na mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Batilda Salha Burian, alipotembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli Jijini dar es Salaam Leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Dkt Batilda Burian na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Alfonso E. Lenhardt, kwa pamoja wakionyesha zawadi Ambayo Waziri Batilda alimkabidhi alipotembelea Ofini kwake Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Monday, May 10, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo