Nafasi Ya Matangazo

April 06, 2010

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa Netball Tanzania Shy-Rose Bhanji akiagana na kocha wa timu ya netball ya Tanzania Bara Mary Protase na wachezaji mda mfupi kabla ya kuelekea nchini Uingereza kwa mazoezi ya wiki 2. Timu hiyo iliondoka jana na Shirika la Ndege la Emmirates katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.
Posted by MROKI On Tuesday, April 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo