
Jengo la Benki ya NMB tawi la Uwanja wa Ndege.

Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wakiwa katika hafla hiyo ya uzindizi wea tawi jipya.

Binti wa Malkia Maxima akisaini kitabu cha wageni akiwa na CEO wa NMB Ben Christiaanse.

Binti wa Malkia wa Uholanzi Maxima akizindua tawi hilo la NMB Uwanja wa ndege.

Lady J Dee akisalimina na Binti wa Malkia Maxima na kumuomba arudie wimbo wa Malaika, Kulia ni Ben Christiaanse CEO NMB.

Binti wa Malkia Maxima akiondoka baada tya kufungua tawi la Benki ya NMB Uwanja wa Ndege leo.Kulia ni CEO wa NMB Ben Christiaanse.

Madirisha ya ndani ya kuweka na kuchukulia fedha.

Mapokezi na maulizo ndo kama haya.

Mashine za kutolea fedha saa 24 zinazoonekana ni 2 kati ya 3.
0 comments:
Post a Comment