Anasema unaupaka mchuzi tu wa Nyama, dagaa au samaki kisha unaufunga sehemu yeyote ambayo ni njia ya Panya nao wakiuona tu wataula na wakila wananasa hapo hapo na kuwakuta asubuhi wewe utawapiga rungu na kuwatupa. Kesho yake uoshe na upake tena mchuzi hadi panya waishe nyumbani kwako.
April 01, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment