Nafasi Ya Matangazo

April 01, 2010

Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro,Steven Kazidi akimvisha kofia ya ukamanda wa UVCCM Aggrey Marealle muda mfupi baada ya kusimikwa katika sherehe ambazo zilifanyika nje ya uwanja wa soko la pasua,Marealle pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.Kamanda mpya wa UVCCM Manispaa ya Moshi,Aggrey Marealle akimvisha kofia ya ukamanda wa UVCCM kata ya Majengo diwani wa kata hiyo,Christopher Lyimo.Kamanda mpya wa UVCCM Manispaa ya Moshi,Aggrey Marealle akimvisha kofia ya ukamanda wa UVCCM kata ya Karanga ,Thomas Mangia ambaye pia ni diwani wa kata hiyo.Kamanda mpya wa UVCCM Manispaa ya Moshi,Aggrey Marealle akizungumza na wafuasi wa CCM(hawapo pichani) muda mfupi baada ya kusimikwa kuwa kamanda mpya wa umoja huo Manispaa ya moshi.
Posted by MROKI On Thursday, April 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo