Rais Jakaya Kikwete akipunga mkono kusalimia wananchi waliohudhuria maadhimisho ya Miaka 46 ya Muungano. Pamoja nae ni Mkuu wa Majeshi BG.Davis Mwamunyange. Viongozi wa kisiasa nao walihudhuria sherehe za Muungano. Mabalozi na wawakilishi wa mashirika mbalimbali ya kimataifa. Kamnda akitoa amri
Ilikuwa ni kujikakamua ...
Ilimradi sauti isikike
Kwata lilikuwa lauhakika hadi...
kofia zilianguka lakini jamaa aliituliza hivi hadi mwisho.Buduki zilivunjika lakini
Jamaa hakubadili pozi hadi mwisho...
Ikaokotwa... Mwisho hadi viatu viling'oka soli. Watazamaji wakiwa wamejipanga kwa rangi za Bendera ya Taifa. Burudani kukundi cha Halaiki-maonesho ya sarakasi.
0 comments:
Post a Comment